Sheria Ngowi kuteka soko la fashion nchini… Nini kusudi lake?

0

Sio kila unachosoma ndio ndoto yako ya baadae, unaweza ukasomea Udaktari au Sheria lakini pia ukawa na kipaji zaidi ya ulichosomea na kujikuta unavutiwa na kukitumia kipaji hicho kwa ajili ya jamii inayokuzunguka.

The Beauty TV ilimtafuta Mbunifu wa Mavazi Sheria Ngowi na kumuuliza maswali matatu

-Nini kilichomvutia mpaka kuingia kwenye ubunifu wa vazi la Suti?

-Ni watu gani amewalenga kuwavalisha na kwa nini?

-Je ana mipango yoyote ya kukuza workshop yake/Nini matarajio yake?

Tumsikilize Sheria Ngowi hapa chini akifunguka.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here