Kuivinjari dunia ni muhimu zaidi kuliko uhusiano

0

BINTI mmoja mwenye umri wa miaka 30 anayejulikana zaidi kwa jina la Alaska Moto Girl ambaye jina lake halisi ni Nikki Misurelli, alibaini kwamba mchuchu wake anataka kusafiri kwa kutumia pikipiki yake aina ya Honda CBR 600rr kuanzia Alaska hadi Argentina.

Ingawa mchuchu alikataa kutoka naye kwa sababu za kiusalama, alivyosema yeye, na hiyo ilifanya waachane. Huku akiwa hana mchuchu binti huyu kwa sasa ameshajipanga kusafiri peke yake kuivinjari dunia tena kwa pikipiki.

Unayoiona ni pikipiki yangu niliyotumia kusafiri kutoka Alaska hadi Panama ambapo nimetembea nchi 9 ndani ya miezi 6 safari ya zaidi ya 12,000 miles sawa na Kilometa 19,000.

Nikki anasema, “Riding motorcycles and traveling are my two greatest passions that fill my heart and soul with joy!”, Explore. Dream. Ride – Alaska Moto Girl

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here