Khadija Mwanamboka azungumzia ukimya wake kwenye ubunifu wa mavazi

0

Mbunifu mashuhuri wa mavazi hapa nchini Khadija Mwanamboka kwa muda mrefu sasa kutoonekana katika shughuli zake za ubunifu wa mavazi, Nini sababu ya ukimya wake huo?

80% ya profit nitakwenda kusaidia watoto wa Kitanzania wenye ulemavu wa aina yoyote.

The Beauty TV iliamua kumtafuta Khadija Mwanamboka na aliamua kufunguka kuhusu ukimya wake huo na mipango yake kwa mwaka huu 2017, tumsikilize hapa chini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here