Jinsi msanii alivyoiangalia asili na ubunifu

0

Fashion Nature: Russian Artist Compares Famous Designers’ Dresses With Nature!

Dunia ya mitindo mara nyingi huchota sana vitu vya asili katika kuwezesha ubunifu wa hali ya juu kutoka kwa mwanamitindo. Ukweli huo unaweza kuonekana katika macho ya msanii wa Kirusi, Liliya Hudyakova.

Picha zake zilizoambatanishwa na mitindo zinaonesha uhusiano mkubwa wa kifikira kati ya asili na mitindo kutoka kwa wabunifu. Msanii huyu anafikiri mbali zaidi kwa kuonesha asili  na mavazi yaliyobuniwa ama kuvaliwa vinavyoshabihiana.

Naam ukiangalia kazi za msanii huyu unaona kuwa alikuwa na jicho la ziada katika fikira kuona au kudhani nini kimewasukuma wabunifu kufanya yale waliyofanya, yaani asili ikiwa kama mwongozo.

Ukiangalia picha hizi unaona kwamba asili imesaidia kutia wazo kwa wabunifu wa mapambo au hata mavazi.

Kiukweli baadhi ya mapambo ya zamani katika nguo na hata vito yamejaribu kushirikisha au tuseme kuiga mambo ya asili.

Monique Lhuillier S/S 2014 Fire In The Sky in California by Aydin Palabiyikoglu

Blumarine S/S 2015 Japanese Cherry Blossoms

Yiqing Yin F/W 2012/13 Sea surface

Carolina Herrera Fall 2015 RTW Rice Field of Yunnan, China by Isabelle Chauvel

Stephane Rolland S/S 2012 Valley of the Glaciers – Satellite Image Of Patagonia (Chile) By NASA

Elie Saab F/W 2014/15 Pink Lake, Australia

Elie Saab S/S 2012 Tropical Beach

Jason Wu S/S 2013 Starry Night “Silhouettes” by Harry Finde

Alexander McQueen S/S 2012 First Snow Fall In Minnesota, USA

Giambattista Valli F/W 2014/15 Wisteria

Elie Saab S/S 2014 Sunset

Elie Saab S/S 2015 Oceanscape Photography

Bottega Veneta S/S 2010 Stormy Sky

Delpozo S/S 2015 Frozen Pond

Gucci F 2004 Green Field

Gosia Baczynska S/S 2014 Beautiful Fields

Christian Siriano S/S 2013 Sandy Beach

Aquilano Rimondi S/S 2012 Ocean Waves

Comme des Garçons F/W 2013/14 Autumn Leaves

Alexander McQueen S/S 2010 Autumn Leaves

Emilio Pucci F/W 2011 Rainy Mountains

The Blonds F/W 2012  Mountains

Jean Louis Sabaji S/S 2013 Clouds

Blanka Matragi S/S 2012  Ocean

Marchesa F/W 2012  Red Leaves

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here