Monday, October 16, 2017
Home Za Dunia

Za Dunia

From festivals in Florida to touring Dracula’s digs in Romania, we round up the best destinations to visit this October. As summer abandons Europe again this October, eke out the last of the rays and raves in Ibiza, where nightclubs will be going out with a bang for the winter break. When the party finally stops head to the island’s north.

Jengo la bunge lachomwa kupinga mabadiliko ya katiba

WAANDAMANAJI nchini Paraguay wamechoma moto jengo la Bunge la nchi hiyo wakipinga muswada wa kuondoa muda wa utawala kwa Rais wa taifa hilo. Polisi walilazimika...

Mahakama yaidhinisha kuondolewa madarakani kwa rais Park Geun-hye

Mahakama ya katiba nchini Korea Kusini hatimaye imekubali kuondolewa madarakani kwa rais aliyekuwa amesimamishwa, Park Geun-hye (pichani), ambaye anakuwa rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia,...

Mastaa Ben Affleck na Jennifer Garner wapigania ndoa yao waahirisha shauri la talaka

BAADA ya kukaa kwa miaka 11 na kisha  kutaka kuachana  mastaa wawili wa Hollywood,Ben Affleck na Jennifer Garner  wamesema hebu subiri katika shauri lao...

Moto waua watoto 19

MOTO uliozuka katika nyumba ya watoto kiasi cha kilomita 25 kusini mashariki mwa mji mkuu wa Guatemala nchini humo umeua watoto 19. Pamoja na kuuawa...

Joint UN Women and UNESCO Message for International Women’s Day

  Joint Message from UN Women Representative, Maria Karadenizli and UNESCO Head of Office and Representative for the United Republic of Tanzania, Ms Zulmira Rodrigues...

Je unajua Tembo hukaa siku 4 bila kulala?

Tembo wanaoishi porini katika bara la Afrika hulala usingizi wa saa chache sana, utafiti kwa wanyama hao kuhusu tabia yao ya usingizi umesema. Wanasayansi ambao...

Mwanachuo wa kike afa akivuta ganja

Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Nnamdi Azikiwe (UNIZIK), mwaka wa mwisho, amekutwa kwenye chumba cha mlinzi wa hosteli anayoishi akiwa amekufa kutokana na kile...
video

VIDEO: Mugizaji abambwa akipiga makofi kwa viganja tuzo za Oscars

USIJALI kulitokea nini wakati wa utangazaji wa sinema bora katika tuzo za Oscar zilizomalizika hivi karibuni, ambapo kulikuwa na mparaganyo usiokuwa wa kawaida ambapo...

Viongozi wa Afrika wakosa tena tuzo ya Mo Ibrahim 2016

Kwa mara ya pili mfululizo hakuna kiongozi wa Afrika aliyefanikiwa kufikisha vigezo vya kupewa tuzo ya Mo Ibrahim  kwa viongozi la Afrika kuhusu utawala...

Tanzania: Seven Cities get Support to Scale-up and Modernize Infrastructure

Residents of seven rapidly urbanizing cities in Tanzania will benefit from funding to scale up infrastructure investments and promote growth, the World Bank Group...

Jiunge Nasi

320FansLike
4,887FollowersFollow
151FollowersFollow
167SubscribersSubscribe
- Tangazo -

Mpya

Wananchi watakiwa kutunza mazingira ili yawaletee kipato endelevu

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Profesa Faustine Kamuzola ameitaka jamii kujenga tabia ya kutunza mazingira katika maeneo yao kwa faida ya...

Tony Elumelu Foundation (TEF) Wraps Up 2017 TEF Entrepreneurship Forum – Largest Gathering of...

-3RD ANNUAL TEF ENTREPRENEURSHIP FORUM WAS HELD ON OCTOBER 13-14 IN LAGOS -1,300 AFRICAN SMEs, POLICYMAKERS, INCUBATORS FROM 54 COUNTRIES IN ATTENDANCE The Tony Elumelu Foundation...

SGA Security yazindua chata mpya ya huduma kwa wateja

Kampuni ya Ulinzi ya SGA imezindua chata mpya ya huduma kwa wateja ikiwa ni sehemu ya maadhinisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. Akizindua chata...