Wednesday, August 23, 2017
Home Music

Music

From festivals in Florida to touring Dracula’s digs in Romania, we round up the best destinations to visit this October. As summer abandons Europe again this October, eke out the last of the rays and raves in Ibiza, where nightclubs will be going out with a bang for the winter break. When the party finally stops head to the island’s north.

Jalada Literary Festival comes to Dar

The Jalada Mobile Literary & Arts Festival is a hybrid between a traditional place-based festival and a bus tour. The tour will cover 5 countries...

Mkongwe wa ‘Rock n Roll’ Chuck Berry afariki dunia

Mwanamuziki mahiri wa muziki wa ‘Rock n Roll’ nchini Marekani Chuck Berry amefariki dunia nyumbani kwake Wentzville akiwa na umri wa miaka 90. Taarifa ya...

Coolio kupanda jukwaani bila ‘bling-bling’ kukwepa vibaka Uingereza

Rapa mkongwe wa Marekani Coolio amesema anakusudia kuvua viatu vyake, mikufu na vitu vya thamani anavyovaa kabla ya kujichanganya na mashabiki wake wa Uingereza...
video

Kichupa kipya cha Harmonize “Niambie”

Msanii wa Bongo Flava Harmonize ambaye anafanya kazi chini ya lebo ya Diamond Platnumz Wasafi (WCB) ameachia video ya wimbo wake mpya 'Niambie' ambao...

WCB yazindua mtandao maalum wa kupata kazi za wasanii kwa haraka

Katika pita pita za The Beauty Tz kwenye mitandao ya kijamii imekutana na taarifa hii kwenye ukurasa wa Instagram wa msanii na mmiliki wa...

Jennifer Lopez anatoka na mcheza baseball Alex “A-Rod” Rodriguez

SASA sio siri,  Lopez, 47, na Rodriguez, 41, ni kitu na boksi. Wawili hao walionwa pamoja na mapaparazi huko Las Vegas  kwenye makazi ya Lopez...
video

Mwimbaji Tommy Page afariki dunia akiwa na miaka 46

Tommy Page, mwimbaji wa zamani wa pop aliyetamba na kibao cha  “I’ll Be Your Everything” kilichoshika namba moja katika chati mwaka 1990 amefariki dunia. Mwimbaji...
video

NEW VIDEO: Heri Muziki – Sweet Love

Heri Muziki ametoa video ya wimbo wake mpya, Sweet Love ambayo imeongozwa na Nick Dizzo. Enjoy the video.

AUDIO: Brand New Single by Heri Muziki “Sweet Love”

Heri Muziki ameachia wimbo wake mpya uitwao, Sweet Love ambao umetayarishwa na Producer Bacteria wa Rocanna Basement Studio huku mixing na mastering vikifanywa na...
video

Kichupa kipya cha Tabla ft Peter Msechu – Nasema Nawe

Mkali wa michano Tabla ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Nasema Nawe’ aliomshirikisha Peter Msechu. Wimbo huo umetayarishwa na Man Walter huku video ikiongozwa...

Jiunge Nasi

303FansLike
4,893FollowersFollow
147FollowersFollow
139SubscribersSubscribe
- Tangazo -

Mpya

Standard Chartered Bank to pay 50bn/- for IPTL’s case

THE Independent Power Tanzania Limited (IPTL) and Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP) have moved the High Court (Commercial Division) to order Standard...

UNESCO yakabidhi vifaa vya radio za kijamii vya mamilioni

SHIRIKA la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limekabidhi vifaa vya radio kwa radio za jamii nne vyenye thamani ya mamilioni...

Benki ya KCB Tanzania yazindua tawi la KCB Sahl Bank Stone Town, Zanzibar

Benki ya KCB Tanzania imezindua upya tawi lake la Stone Town Zanzibar na kuwa KCB Sahl Bank, ikiwa inatoa huduma za kibenki za Kiislamu...