Tuesday, June 27, 2017
Home Michezo

Michezo

From festivals in Florida to touring Dracula’s digs in Romania, we round up the best destinations to visit this October. As summer abandons Europe again this October, eke out the last of the rays and raves in Ibiza, where nightclubs will be going out with a bang for the winter break. When the party finally stops head to the island’s north.

Timu ya Azania kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Standard Chartered Uingereza

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameikabidhi bendera timu ya Azania ambayo inaelekea nchini Uingereza kushiriki mashindano ya Standard Chartered...

Kocha wa kimataifa wa kuogelea kushuhudia mashindano ya Taifa

Kinyang’anyiro cha kuwatafuta waogeleaji bora wa Tanzania kwa ajili ya timu mbalimbali za Taifa kitaanza kesho kwenye bwawa la kuogelea la Hopac ambapo jumla...

Mwakyembe aombwa kuangalia michezo mingine

MTANZANIA ,Gaudence Lekule (31) anayeshiriki michezo ya kupanda milima kwa kasi (Mountain Run) amemuomba Waziri mpya wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo , Dkt...

PICHA: Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki mazoezi na jirani zake

Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki mazoezi pamoja na majirani zake leo tarehe 25 Machi 2017....

Wenger ‘Mjomba ambae hataki kuondoka kwenye sherehe’

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amefananishwa na 'mjomba ambae hataki kuondoka kwenye sherehe' na mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Chris Sutton. Wenger ambae amekua Arsenal...

Jamie Vardy wa Leicester City adai kutishiwa kuuawa

Mshambuliaji wa klabu ya Leicester City ya Uingereza Jamie Vardy, amedai kupokea vitisho vya kuuawa na familia yake inawindwa tangu kufukuzwa kwa aliyekuwa meneja...

Azam ‘bai bai’ michuano ya Kombe la Shirikisho

Wawakilishi wa Tanzania bara katika mashindano ya Kombe la Shirikisho timu ya Azam FC, wameyaaga mashindano hayo baada ya kupokea kichapo cha jumla ya...
video

Mungu ni wa miujiza: ‘Table Tennis’ kwa mdomo inawezekana

Ama kwa hakika waswahili hawakukosea waliposema ‘Penye Nia pana njia’. Mwanamichezo Ibrahim Hamato kutoka Misri anayeupenda kwa dhati mchezo wa Mpira wa Meza ‘Table Tennis’,...

Lukaku agoma kuongeza mkataba Everton

Mshambuliaji wa timu ya Everton Romelu Lukaku (pichani)  amegoma kuongeza mkataba mkubwa wa kihistoria katika klabu hiyo. Everton inaYocheza kwenye ligi kuu ya Uingereza ilitarajia...

Nafasi ya Taifa Stars kucheza kombe la Afrika 2019

Makundi ya timu ambazo zitashiriki katika kombe la Africa mwaka 2019 nchini Cameroon tayari yalishatoka na timu ya Taifa Stars ipo kwenye kundi L...

Jiunge Nasi

236FansLike
4,901FollowersFollow
146FollowersFollow
118SubscribersSubscribe
- Tangazo -

Mpya

UN Tanzania Chief visits projects in Zanzibar

Focus: Water and Sanitation projects to ‘Leave No one Behind’ The UN Resident Coordinator and UNDP Resident Representative, Mr. Alvaro Rodriguez visits the island in...